HUDUMA ZA KIBINGWA

Posted on: April 26th, 2025

Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:

  • Upasuaji wa Mifupa
  • Upasuaji Jumuishi
  • Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
  • Magonjwa ya moyo
  • Endocrinolojia (Magonjwa ya kisukari)
  • Magonjwa ya kuambukiza mf.  CTC kwa wagonjwa wa VVU, TB
  • Dermatolojia (Ngozi)
  • Magonjwa ya Ndani
  • Wagojwa wa Dharura na Ajali
  • Wagonjwa Mahututi na Tiba ya maumivu
  • Magonjwa ya watoto





Copyright ©2022 CHATOZRH . All rights reserved.