Our Services
- Kufanya uchunguzi/ tathmini kwa wagonjwa wenye matatizo ya kijamii au kisaikolojia [ social and psycho-social problem) ili kujua jinsi ya kushughulikia
- Kutoa ushauri kwa wagonjwa na/ au ndugu wa wagonjwa waliobainika kua na matatizo ya kijamii au kis...
Huduma kwa Wagonjwa wa Ndani
- Kupitia taratibu za uchunguzi wa kitabibu utambuzi wa magonjwa hufanyika na kuhakikisha matibabu sahihi hutolewa kwa kila mgonjwa.
- Mzunguko wa kuona wagonjwa Wodini: Hufanywa kila siku ikiwa ni pamoja na Mzunguko mkubw...
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:
- Upasuaji wa Mifupa
- Upasuaji Jumuishi
- Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
- Magonjwa ya moyo
- Endocrinolojia (Magonjwa ya kisukari)
- Magonjwa ya kuambukiz...
Idara ya Wagonjwa wa dharula na ajali
Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma
Huduma tunazotoa:
Kitengo cha wagonjwa wa nje (OPD)
- Huduma ya kuonwa na daktari
- Uchunguzi wa kitabibu
- Huduma za...
Dakitari wa Meno akimfanyia uchunguzi wa kinywa na meno mteja