Welcome Chato ZRH

DR BRIAN C. MAWALLA
EXECUTIVE DIRECTOR
Welcome to Chato zonal refferal hospital, this hospital is located at Chato District near with the Lake Victoria. Our expectation is to provide the services that you deserve regardless of religion, ethnicity, income, race, gender, age or nation. On behalf of the entire Chato Zonal Referral Hospital team, I would like to welcome you to experience ou...Read more
Services And Facilities
- Kufanya uchunguzi/ tathmini kwa wagonjwa wenye matatizo ya kijamii au kisaikolojia [ social and psycho-social problem) ili kujua jinsi ya kushughulikia
- Kutoa ushauri kwa wagonjwa na/ au ndugu wa wagonjwa waliobainika kua na matatizo ya kijamii au kis...
Huduma kwa Wagonjwa wa Ndani
- Kupitia taratibu za uchunguzi wa kitabibu utambuzi wa magonjwa hufanyika na kuhakikisha matibabu sahihi hutolewa kwa kila mgonjwa.
- Mzunguko wa kuona wagonjwa Wodini: Hufanywa kila siku ikiwa ni pamoja na Mzunguko mkubw...
Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Hutoa huduma za Kibingwa katika nyanja zifuatazo:
- Upasuaji wa Mifupa
- Upasuaji Jumuishi
- Magonjwa ya kina mama na Afya ya Uzazi
- Magonjwa ya moyo
- Endocrinolojia (Magonjwa ya kisukari)
- Magonjwa ya kuambukiz...
Idara ya Wagonjwa wa dharula na ajali
Idara hii ni moja kati ya Idara zilizokamilika na kujitosheleza kihuduma
Huduma tunazotoa:
Kitengo cha wagonjwa wa nje (OPD)
- Huduma ya kuonwa na daktari
- Uchunguzi wa kitabibu
- Huduma za...
Dakitari wa Meno akimfanyia uchunguzi wa kinywa na meno mteja
Recent News and Updates
MADAKTARI BINGWA HOSPITALI YA KANDA YA RUFAA YA CHATO WAFANYA UPASUAJI KWA MTOTO ALIYEZALIWA BILA KU...
Posted on: February 19th, 2022Hospitali ya Kanda ya Rufaa Chato, imeweza kufanya upasuaji kwa mtoto aliyezaliwa bila kuwa na sehemu ya kutolea haja kubwa. Upasuaji huu bobezi umefanywa na madaktari bingwa wa hospitali hii ya Kanda ya Rufaa ya Chato wakiwa wamefanik...Read more
LISHE BORA KWA AFYA YA MAMA NA MTOTO...
Posted on: November 30th, 2020Ikiwa unahisi changamoto kwa kufikiria juu ya lishe bora kwa mtoto wako, hauko peke yako. Hii ni hatua ya mkazo kwa wazazi wengi lakini wacha tuchukue hatua kwa hatua! Unaweza kuanza na hatua moja katika mwelekeo sahihi na ikiwa hiyo n...Read more
KAMATI YA SIASA YA MKOA WA GEITA - HOSPITALI YA KANDA YA RUFAA CHATO...
Posted on: November 25th, 2020Kamati ya siasa ya mkoa wa Geita imepongeza uamuzi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuamua kujenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda iliyopo Chato na wameshauri jitihada mbalimbali za kuitangaza hospitali hiyo zifanyike ili wan...Read more
TIBA YA KINYWA NA MENO...
Posted on: November 19th, 2020Matatizo ya meno ni shida au magonjwa yanayohusiana na meno, karibia matatizo yote ya meno yanatokea baada ya bakteria na wadudu wengine kuwepo mdomoni, hii hufanya mtu kuwa na maumivu makali kwenye meno na mpaka kupelekea kutoa damu a...Read more
HUDUMA YA ULTRASOUND...
Posted on: November 19th, 2020Kipimo cha ultrasound kinamsaidia daktari kuona kama kuna tatizo katika ogani, mishipa na tishu bila kufanya upasuaji. Tofauti na tekinolojia nyingine, ultrasound haitumi mionzi, ndio maana ni njia inayopendekezwa kwaajili ya kuangalia...Read more